...
Best Nasso - Nitarudi Morogoro [Official Music Video]
![Best Nasso - Nitarudi Morogoro [Official Music Video] Best Nasso - Nitarudi Morogoro [Official Music Video]](https://i.ytimg.com/vi/P4w6SK4Rhl0/default.jpg)
Posted by Unknown
at 9:31 AM,
Add Comment
Read more
MAHAKAMA YAAMURU FAMILIA YA MARVIN GAYE KULIPWA FIDIA

Mahakama nchini Marekani imetoa uamuzi kuwa mwandishi wa wimbo wa Blurred lines, ambayo ni singo iliyouza mno, aliiba mashairi ya wimbo wa Marvin Gaye.
Jopo la wazee wa mahakama Jijini Los Angeles limesema singo hiyo ya mwaka 2013 iliyoimbwa na Pharrell Williams na Robin Thicke imevunja sheria za hati miliki kwa kuiba mashairi ya wimbo Got To Give It Up wa Gaye alioutoa mwaka 1977.
Kutokana na kosa hilo mahakama imeamuru familiya ya marehemu Mravin Gaye, kulipwa dola milioni 7.3 kama fidia.
Hata...
Posted by Unknown
at 2:04 AM,
Add Comment
Read more
MWANAMKE ALIYE NA SURA YA AINA YAKE AACHIA FILAMU YAKE

Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.
Maisha ya Lizzie Velasquez mwenye umri wa miaka 26 yalibadilika kabisa baada ya kuona kanda ya video katika mtandao wa tube iliodai kwamba yeye ndiye mwanamke mwenye sura mbaya duniani.
Lizzie ambaye alikuwa na miaka 17 wakati huo alikasirishwa kuona kwamba msichana aliyekuwa katika kanda hiyo ya video alikuwa yeye.
Kanda hiyo ilioonekana mara millioni 4 mtandaoni huku wengi wakiwacha ujumbe...
Posted by Unknown
at 1:53 AM,
Add Comment
Read more
Jose Chameleone Ft:Patoranking - Only You (2015) (Official Audio)

...
Posted by Unknown
at 4:44 AM,
Add Comment
Read more
Hii ni Good news kutoka kwa Ay, Shaa, Fid Q na Sauti Soul Mwaka 2015

Wakali kutokea Tanzania, Fareed Kubanda aka Fid Q, Shaa pamoja na A.Y wakiwa bado wapo nchini Kenya wameingia studio na kundi la Sauti sol kurekodi single mpya.
Kupitia kwenye Instagram, Sauti Sol wamepost dakika chache zilizopita na kuandika; “Last night we were part of something phenomenon.It was great working with true artists lyrical geniuses. @aytanzania @shaa_tz @bienaimesol @fancy_fingers @iamchimano“– @sautiso...
Posted by Unknown
at 12:05 AM,
Add Comment
Read more
Taarifa iliyonifikia kuhusu MBUNGE aliyefariki leo TANZANIA

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, Kapteni John Komba amefariki leo, taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wa Twitter wa Chama cha CCM, hajawamesema chanzo cha kifo chake.
Katika Tweet hiyo imeandikwa kwamba Mbunge huyo amefariki akiwa hospital ya TMJ.
Marehemu Kapteni Komba alikuwa kiongozi wa bendi ya TOT.
Naendelea kufuatilia taarifa hii na kila kitakachonifikia nitakuwa nakufahamisha pia hapahapa.
RIP Kapteni Komba...
Posted by Unknown
at 7:35 AM,
Add Comment
Read more
Picha 11 za jinsi huyu anaetuhumiwa kuwa tapeli anaetumia jina la Jokate Mwegelo alivyokamatwa

Aliefanikisha huyu jamaa kukamatwa ni mrembo mmoja model Blessing ambae alishiriki Miss Morogoro 2013 ambapo namkariri akisema “wiki mbili zilizopita nilipata msg kwamba Kidoti hair na Mzinga Planet wanahitaji mamodo kwa ajili ya kutengeneza matangazo kwa ajili ya nywele za kidoti, tulikua Morogoro kwa ajili ya Miss Morogoro tukaja Dar mpaka Mzalendo Pub msg ilipotuelekeza lakini nilivyoingia sikuona mtu ambae anahusiana na Jokate, niliona watu ambao nawajua lakini sio kuhusu nywele’
‘Nikampigia...
Posted by Unknown
at 4:54 AM,
Add Comment
Read more
Ni French Montana na Jeremih wametusogezea hii video yao mpya

...
Posted by Unknown
at 4:40 AM,
Add Comment
Read more
Ile kesi ya kumpiga Rihanna ni kama bado inamtia gundu Chris Brown…

Chris Brown ni kama huu mwaka haujaanza poa kwake, katika vitu ambavyo amekutana navyo ni vikwazo kwenye kazi yake ya muziki.
Hapahapa kwenye millardayo.com siku ya January 02 mwaka huu nilikuandikia story ya staa huyo kushindwa kwenda kupiga show yake Ufilipino baada ya kupoteza passport muda mfupi kabla ya safari, wiki chache mbele akashindwa pia kuanza tour yake ya ‘Between the Sheets‘ baada ya Mahakama kumzuia ili amalizie saa 100 za adhabu ya kufanya kazi za kijamii kutokana na kesi ya kumpiga...
Posted by Unknown
at 4:37 AM,
Add Comment
Read more
Wakati wa maombolezo utaratibu wa hawa ndugu ni kukatwa vidole..

Utamaduni wa watu duniani unatofautiana, moja ya story ambazo sikuwahi kufahamu ni juu ya huu utamaduni wa jamii ya watu wa Dani iliyoko Magharibi mwa Papua, New Guinea ambapo utamaduni wao unahusisha inapotoke msiba wa ndugu yoyote basi ndugu wa marehemu wanaomboleza kwa kujikata vidole.
Hii imeshtua wengi walioisikia, kwa wale waliobahatika kuitembelea basi ni mashuhuda kwamba watu wengi wa kutoka jamii hiyo wamekatwa vidole na ndugu yoyote wa marehemu anakatwa vidole, umri sio kitu kinachoangaliwa...
Posted by Unknown
at 4:19 AM,
Add Comment
Read more
HATIMAE BODI YA FILAMU TANZANIA IMEIFUNGIA FILAMU YA FIFTY SHADES OF GREY

Taarifa Kwa Umma
Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania inawaagiza Wamiliki wote wa kumbi za filamu Tanzania Bara kutofanya maonesho ya hadhara ya filamu yenye jina la FIFTY SHADES OF GREY inayoongozwa na Sam Taylor Johnson na kutengenezwa na Michael De Luka, Dana Brunetti na E.L. James.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza Tanzania kukagua filamu hiyo yenye urefu wa saa 2:05 na kugundua kwamba haizingatii sheria na kanuni zinazosimamia tasnia ya filamu...
Posted by Unknown
at 11:10 AM,
Add Comment
Read more
RIYAMA AZUNGUMZIA MAISHA YAKE YA KIMAPENZI

MWIGIZAJI Nyota katika tasnia ya filamu Nchini Riyama Ali amefunguka kwa kusema kuwa upendo wake kwa mpenzi wake ni wa kila siku hauna siku maalum kwani haoni faida ya kuwa na upendo wa kuchaguliwa na mtu hivyo haoni umuhimu wa Valentine Day kwani si mtu wa namna hiyo.
“Nampenda laazizi wangu siku zote sioni umuhimu wa mambo ya kuigi ya wazungu eti niwe na siku ya maalum ya kumuonyesha upendo mpenzi wangu siwezi, wala kuvaa nguo za rangi.”anasema Riyama.
Riyama anasema kuwa anaamini kuwa siku...
Posted by Unknown
at 11:05 AM,
Add Comment
Read more
WATAKA WANAFUNZI WAFUNDISHWE NGONO MASHULENI

Shule zote za serikali zikiwemo za msingi na zile za upili nchini Uingereza zitalazimika kufunza somo la ngono na uhusiano SRE ,wabunge wa taifa hilo wamesema katika ripoti yao.
Kamati ya elimu katika bunge la Uingereza ilianzisha uchunguzi baada ya kubainika kuwa zaidi ya thuluthi moja ya shule zilikuwa zikishindwa kutoa mafunzo ya somo hilo kwa aumri unaohitajika.
Mwenyekiti wa kamati hiyo Graham Sturat amesema kuwa vijana wadogo wana haki ya kupata habari ambazo zitahakikisha usalama wao.
Serikali...
Posted by Unknown
at 11:04 AM,
Add Comment
Read more
BAADA YA KUFANYA MAKOSA AAMUA KUYATUNGIA KITABU

Baada ya kugundua amefanya makosa tofauti tofauti Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ametangaza ujio wa kitabu chake kuhusu makosa aliyofanya kwenye maisha yake mpaka kupelekea yeye kuwa kama alivyo.
Kitabu kitaitwa “How To Be a Bad B*tch” na kinategemewa kutoka November 2015. Kitabu kitachapishwa na kampuni ya Simon & Schuster.
Kuna uvumi kuwa Kim Kardashian amemuomba dada yake ‘Khloe’ amalize beef yao na Amber sababu Amber ana siri nyingi za Kanye Wes...
Posted by Unknown
at 11:00 AM,
Add Comment
Read more
Subscribe to:
Posts (Atom)