MWANAMKE ALIYE NA SURA YA AINA YAKE AACHIA FILAMU YAKE
Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.
Maisha ya Lizzie Velasquez mwenye umri wa miaka 26 yalibadilika kabisa baada ya kuona kanda ya video katika mtandao wa tube iliodai kwamba yeye ndiye mwanamke mwenye sura mbaya duniani.
Lizzie ambaye alikuwa na miaka 17 wakati huo alikasirishwa kuona kwamba msichana aliyekuwa katika kanda hiyo ya video alikuwa yeye.
Kanda hiyo ilioonekana mara millioni 4 mtandaoni huku wengi wakiwacha ujumbe wa kuudhi kama vile ''angeuliwa alipozaliwa'',nilishangaa nilipoona ujumbe huo alisema Lizzie.
Ujumbe mwengine ulisoma ''kwa nini wazazi wake walimlea''.
Mwanamke huyo alipiga moyo konde na kuanza mtandao wake wa You Tube akiwaelezea watu kuhusu mwanamke huyo anayedaiwa kuwa mwenye sura mbaya zaidi.
Lizzie amesema kuwa anawasaidia wengine ambao wamekuwa wakionewa kuweza kupata msaada ama hata kupambana na maonevu hayo.
Mwanamke huyo pia anafanya kazi na Tina Meir ambaye mwana wao Mega alijiuwa baada ya kuonewa katika mtandao.
By Pro24
Related Post:
Ommy Dimpoz - Wanjera (Official Video HD)… Read More
MAHAKAMA YAAMURU FAMILIA YA MARVIN GAYE KULIPWA FIDIA Mahakama nchini Marekani imetoa uamuzi kuwa mwandishi wa wimbo wa Blurred lines, ambayo ni singo… Read More
MWANAMKE ALIYE NA SURA YA AINA YAKE AACHIA FILAMU YAKE Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha… Read More
Jose Chameleone Ft:Patoranking - Only You (2015) (Official Audio)… Read More
Hii ni Good news kutoka kwa Ay, Shaa, Fid Q na Sauti Soul Mwaka 2015 Wakali kutokea Tanzania, Fareed Kubanda aka Fid Q, Shaa pamoja na A.Y wakiwa bado wapo nchini Kenya… Read More
Posted by Unknown
on Monday, March 16, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to " MWANAMKE ALIYE NA SURA YA AINA YAKE AACHIA FILAMU YAKE"
Post a Comment