Latest Updates

ALICHOSEMA WEMA SEPETU KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM!!Okay... Lets get things straight here.... See dat doggie up there... Y'all see her....? Dat is my bebi.... since i dont have a bebi... Huyo ndo mtoto wng... Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta... Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai... Akha...!! Zaa zaa... If u have a child im happy for u... Nd wish u da best... I dont... Ndo mungu alivyonipangia... So please hey.... Watakaozaa all da best... Walio na mipango ya kuzaa hongereni... Mimi sina ... Im done... Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko.... Na wale wa subhannah llah 
pia
 nisiwaone... This is getting too personal sasa..."

0 Response to "ALICHOSEMA WEMA SEPETU KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM!!"

Post a Comment