Latest Updates

Ile video ya ‘Sisikii’ ya Jux imetoka tayari, Vanessa Mdee yumo ndani! Dakika zako tatu kuitazama hapaHii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na Jux ambao kumekuwa na story kwamba wana uhusiano wa kimapenzi.


Imetoka na imeongozwa na director Zed Benson, karibu uitazame hapa mtu wangu.
Bonyeza play kutazama.

0 Response to "Ile video ya ‘Sisikii’ ya Jux imetoka tayari, Vanessa Mdee yumo ndani! Dakika zako tatu kuitazama hapa"

Post a Comment