Home » Uncategories » BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma..
BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma..
Moja ya taarifa ya kushtua na kuhuzunisha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na watu kutumiana message ni kuhusu msiba wa aliyekuwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, katika kipindi cha LEO TENA wametafutwa watu wa karibu ili kuthibitisha taarifa hiyo.
Dada wa marehemu ambaye jina lake ni Rachel amethibitisha kuwa msanii MEZ B amefariki akiwa nyumbani kwao Dodoma.
MEZ-B2
Noorah ni msanii ambaye walikuwa karibu na Mez B, amesema Mez B alikuwa na homa tangu mwezi December mwaka jana na baadaye akasafiri kwenda Dodoma huku hali yake ikiwa bado sio nzuri, mara ya mwisho wameongea kwenye simu ni siku tano zilizopita, leo simu yake imepokelewa na dada yake akimtaarifu kuwa Mez B amefariki muda mfupi uliopita baada ya kuzidiwa.
Mez B aliwahi kuwa kundi moja Chamber Squad na akina Noorah, Dark Master na marehemu Albert Mangwea pia.
Msiba uko nyumbani kwao eneo la Kisasa, Dodoma.
Related Post:
Mke wa T.I amkimbia Floyd Mayweather kwenye BET Red Carpet Mke wa rapper T.I, Tiny hakutaka ugomvi mwingine utokee kwenye tuzo za BET baada ya kumkimbi… Read More
CHANZO CHA KUPATANA WEMA NA KAJALA CHABAINIKA WADADA waigizaji wa bongo movies, Wema Sepetu na Kajala inadaiwa kuwa wawili hao wamemaliza … Read More
wasanii wa 'Original Comedy' wageuka wahudumu wa mgahawa waliouanzisha Maonesho ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika eneo la Sabasaba, Dar es Salaam. Makampuni, vi… Read More
Video ya wimbo wa Shetta 'Kerewa' kuchezwa Trace na Channel O Tegemea kuiona video ya wimbo wa Shetta aliomshirikisha Diamond ‘Kerewa’ kwenye vituo vingin… Read More
Tembo Nelly aipeleka Ujerumani hatua ya nusu fainali dhidi Ufaransa Wakati mashabiki wa soka duniani wakiusubiri kwa hamu kubwa mchezo wa hatua ya robo fainali … Read More
Posted by Unknown
on Friday, February 20, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "BREAKING NEWS: Taarifa ya msiba wa msanii wa BONGO FLEVA uliotokea leo Dodoma.."
Post a Comment