Latest Updates

R.KELLY AIBUA MAPYA, APIGA PICHA ZA UCHI NA MPENZI WAKE RONALDOMAPYA yaibuka, mchumba wake wa mchezaji soka maarufu duniani Christiano Ronaldo, anayejulikana kwa jina la Irina Shayk akiwa katika pozi la uchi na msanii maarufu duniani wa muziki wa R&B R. Kelly katika gazeti la V.Magazine. 

Picha hiyo imeeibua maswali kwa watu wengi kuhusiana na hali hii ya kumwamini R.Kelly na mwanamke, haswa msichana ambaye amekuwa na mwanasoka huyo maarufu kwa miaka zaidi ya mitano.

0 Response to "R.KELLY AIBUA MAPYA, APIGA PICHA ZA UCHI NA MPENZI WAKE RONALDO "

Post a Comment