Hii ni Good news kutoka kwa Ay, Shaa, Fid Q na Sauti Soul Mwaka 2015
Wakali kutokea Tanzania, Fareed Kubanda aka Fid Q, Shaa pamoja na A.Y wakiwa bado wapo nchini Kenya wameingia studio na kundi la Sauti sol kurekodi single mpya.
Kupitia kwenye Instagram, Sauti Sol wamepost dakika chache zilizopita na kuandika; “Last night we were part of something phenomenon.It was great working with true artists lyrical geniuses. @aytanzania @shaa_tz @bienaimesol @fancy_fingers @iamchimano“– @sautisol
Posted by Unknown
on Friday, March 6, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Hii ni Good news kutoka kwa Ay, Shaa, Fid Q na Sauti Soul Mwaka 2015"
Post a Comment