Taarifa iliyonifikia kuhusu MBUNGE aliyefariki leo TANZANIA
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, Kapteni John Komba amefariki leo, taarifa iliyotolewa kwenye ukurasa wa Twitter wa Chama cha CCM, hajawamesema chanzo cha kifo chake.
Katika Tweet hiyo imeandikwa kwamba Mbunge huyo amefariki akiwa hospital ya TMJ.
Marehemu Kapteni Komba alikuwa kiongozi wa bendi ya TOT.
Naendelea kufuatilia taarifa hii na kila kitakachonifikia nitakuwa nakufahamisha pia hapahapa.
RIP Kapteni Komba.
Related Post:
Usiseme Hamna Hela,sema Sina Hela.... GARI YA KIFAHARI AINA YA LAMBORGHI… Read More
MANJI AMKINGIA KIFUA KASEJA, ASEMA SIMBA KUMTUNGUA MATATU SIO KIGEZO CHA KUSHUSHA THAMANI YAKE Juma Kaseja `Tanzania One` amekingiwa kifua na bosi wake ,Yussuf Manji baada ya kufungwa mabao m… Read More
Muigizaji Vin Diesel ametangaza rasmi tarehe ya kutoka kwa muendelezo wa Fast and Furious Baada ya kusimamisha shughuli za maandalizi ya muendelezo wa saba ya Filamu ya Fast and Furio… Read More
TAARIFA TOKA TFF LEO DESEMBA 23, 2013 Boniface Wambura Mgoyo Kaimu Katibu Mkuu TFF MECHI YA MTANI JEMBE YAINGIZA MIL 4… Read More
ROMA PROFILE Jina Kamili : Ibrahim Mussa Jina la kisanii : Roma Mkatoliki Msanii wa mio… Read More
Posted by Unknown
on Saturday, February 28, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Taarifa iliyonifikia kuhusu MBUNGE aliyefariki leo TANZANIA"
Post a Comment