Latest Updates

BAADA YA KUFANYA MAKOSA AAMUA KUYATUNGIA KITABU

Baada ya kugundua amefanya makosa tofauti tofauti Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ ametangaza ujio wa kitabu chake kuhusu makosa aliyofanya kwenye maisha yake mpaka kupelekea yeye kuwa kama alivyo. Kitabu kitaitwa “How To Be a Bad B*tch” na kinategemewa kutoka November 2015. Kitabu kitachapishwa na kampuni ya Simon & Schuster. Kuna uvumi kuwa Kim Kardashian amemuomba dada yake ‘Khloe’ amalize beef yao na Amber sababu Amber ana siri nyingi za Kanye West.

0 Response to "BAADA YA KUFANYA MAKOSA AAMUA KUYATUNGIA KITABU "

Post a Comment