Latest Updates

Tutegemee kusikia chochote kutoka kwa Mweusi JOH MAKINI na rapper KO?

Joh Makini amekutana na Rapa KO wa kundi la Tearsgas, halafu Joh ameweka picha Instagram wakiwa ndani ya studio na kuandika; “#Studio_flow with #KO @mrcashtime himself #2KINGS #ARUSHA_MEETS_JOHANNESBURG #2015 #GODENGINEERING #WEUSIMEETSCASHTIME #amonmyway” –@joh_makini Katika harakati za kuhakikisha muziki unaenda kwenye level za kimataifa, tumeona juhudi za wasanii wetu wakiongeza nguvu na kujisogeza wenyewe kwenye level hizo kila siku. Kila la kheri kwa mtu wetu MWEUSI Joh Makini kama kitatokea chochote kwenye muunganiko huu basi nitakusogezea pia.

0 Response to "Tutegemee kusikia chochote kutoka kwa Mweusi JOH MAKINI na rapper KO?"

Post a Comment