Mitandao ya picha na video za ngono CHINA wameenda hatua moja mbele..
China na Sheria zao, Serikali ya nchi hii ni moja kati ya chache ambazo zimekuwa mstari wa mbele kwenye utekelezaji wa chochote kile ambacho watakiamua, kwa wakati wowote na kwa njia yoyote.
Moja ya stori za mwisho mwisho kusikika kutoka China ni ishu ya kila mtu kutakiwa kujisajili kwenye mitandao ya kijamii kwa majina yote halali yani, yale ambayo yanatambulika kwenye cheti cha kuzaliwa au passport hivi.
Kuna hii nyingine ya kuhusu hiyo hiyo mitandao, unaambiwa Mamlaka ya Mawasiliano China wamefuta website 65 ambazo watu walizitumia kwa masuala ya mapenzi ikiwemo kutafuta wapenzi na kushare picha za ngono.
Mitandao hiyo iligundulika kwamba watu walikuwa wakijisajili kwa majina fake, halafu wanashare picha, video za ngono pia.
Rungu limeanza kazi ndani ya China, yeyote anayetaka kuendelea kutumia mitandao ya kijamii lazima ajisajili kwa jina lake kamili, hii itakuwaje mfano ikianza Bongo kwa kasi hii hii mtu wangu!
millardayo.com
Related Post:
MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAR 03-03- 2014 VICHWA VIKUBWA PANDU KIFICHO AMETUSALITI,POSHO JUU BUNGENI NA WAFUNGA BARABARA KWA SAA 5 NA DJ SEK … Read More
BAADHI YA MATUKIO KATIKA PICHA KWENYE TUNZO ZA OSCAR … Read More
MSIMAMO WA LIGI KUU UINGEREZA BAADA YA MECHI ZA WEEKEND HII … Read More
LUPITA AVUNJA REKODI Muimba kutoka nchini Marekani Pharrell Williams akicheza na Lupita wimbo wake unaojulikana kw… Read More
TAZAMA PICHA::MWANDISHI WA HABARI FEKI ALIVYONASWA LIVE AKITAKA KUMUIBIA MH. SHABIBY HUKO DODOMA...! mwandishi wa habari feki aliyejitambulisha kwa jina la meshaki alijukuta kwenye wak… Read More
Posted by Unknown
on Saturday, February 21, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Mitandao ya picha na video za ngono CHINA wameenda hatua moja mbele.."
Post a Comment