Wakati wa maombolezo utaratibu wa hawa ndugu ni kukatwa vidole..
Utamaduni wa watu duniani unatofautiana, moja ya story ambazo sikuwahi kufahamu ni juu ya huu utamaduni wa jamii ya watu wa Dani iliyoko Magharibi mwa Papua, New Guinea ambapo utamaduni wao unahusisha inapotoke msiba wa ndugu yoyote basi ndugu wa marehemu wanaomboleza kwa kujikata vidole.
Hii imeshtua wengi walioisikia, kwa wale waliobahatika kuitembelea basi ni mashuhuda kwamba watu wengi wa kutoka jamii hiyo wamekatwa vidole na ndugu yoyote wa marehemu anakatwa vidole, umri sio kitu kinachoangaliwa sana hivyo hata watoto pia wanaguswa na hii moja kwa moja.
Utaratibu huo huwa unakuwa na ibada ya utangulizi ili kufukuza mapepo ya marehemu halafu linafuatia zoezi la kukata vidole, kwa utamaduni huo maumivu ya mwili huonyesha huzuni ya kufiwa pamoja na kuonyesha upendo kwa marehemu.
Hapa vidole vinakatwa kwa shoka, vipande vilivyokatwa vinachomwa moto halafu majivu yanahifadhiwa au kuzikwa pamoja na mwili wa marehemu.
Jitihada zimeanza kufanywa ili kuzuia utamaduni huo ambao madhara yake yameanza kuonekana kwa sasa
by millardayo.com
Related Post:
WEMA ALIZWA NA VITA ZA TEAM INSTAGRAM Mtandao wa Instagram umekuwa sehemu ambayo mambo mengi yanafanyika siku hizi na kuwaacha… Read More
RICK ROSS MATATANI, ATISHIWA MAISHA NA WATU WASIOJULIKANA RAPA ambaye pia ni boss wa MMG, Rick Ross ametishiwa maisha na watu zaidi ya 100 waliomuwekea … Read More
NICKI MINAJ AONESHA MAPENZI KWA DRAKE Nicki Minaj ameonesha upendo wake kwa member mwenzake wa YMCMB, Drake wakati anafanya mahojian… Read More
MWIMBAJI AJITOA KATIKA KUNDI LA BOKO HARAM MWIMBAJI wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza… Read More
TAARIZA ZA MATIBABU 'ZABEBWA' Jedwari lenye taarifa za matibabu za gwiji wa mbio za magari ya formula 1, Michael Schumacher li… Read More
Posted by Unknown
on Wednesday, February 25, 2015,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Wakati wa maombolezo utaratibu wa hawa ndugu ni kukatwa vidole.."
Post a Comment