Taarifa ya kinachoendelea hivi sasa kuhusu ndege iliyopotea jana Indonesia
Taarifa zilizotoka muda mfupi uliopita kuhusiana na zoezi la utafutaji wa ndege iliyopotea ya AirAsia QZ 8501 zinasema kuwa vikosi vinavyohusika na utafutaji wa ndege hiyo vinasema kuna uwezekano mkubwa imezama kwenye kina kirefu cha bahari.
Chanzo cha habari kutoka nchini humo kinasema uchunguzi kuhusu ndege hiyo bado unaendelea huku wakitumia ndege za kijeshi kutoka Indonesia na Singapore Kusini Magharibi mwa Pwani ya Borneo ambapo ilipoteza mawasiliano.
Rubani wa ndege hiyo Captain Iriyanto
Bado jitihada za kuwatafuta abiria 162 waliokuwepo ndani ya ndege zinaendelea,na mpaka sasa hakuna mawasiliano yoyote,ilikua ikielekea Singapore.
Shughuli ya kutafuta ndege ya AirAsia ambayo ilipotea jana Jumapili imeendelea leo tena baada ya kusitishwa kwa muda.
Ndege hiyo ilikuwa safarini kwenda nchini Singapore ikitokea mji wa Surubaya nchini Indonesia na shughuli za kuitafua zinafanyika kwenye kisiwa cha Belitung.
LIKE PAGE KWA HABARI https://www.facebook.com/ads/growth/aymt/homepage/panel/redirect/?data=%7B%22ad_account_ids%22%3A%5B112961212148251%5D%2C%22object_ids%22%3A%5B494652767300778%2C193510340828568%2C187095718106422%2C715562531794294%5D%2C%22campaign_ids%22%3A%5B%5D%2C%22selected_ad_account_id%22%3A112961212148251%2C%22selected_object_id%22%3A187095718106422%2C%22selected_time_range%22%3A%22%22%2C%22is_panel_collapsed%22%3A0%2C%22is_advertiser_valid%22%3A0%2C%22section%22%3A%22Object+Section%22%2C%22clicked_target%22%3A%22Selected+Object%22%7D&redirect_url=https%3A%2F%2Fwww.facebook.com%2Fpages%2FCleaf-Da-Pro-Ducer%2F187095718106422%3Fref%3Daymt_homepage_panel
Related Post:
Mshindi wa Miss Universe 2014 hatoiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya dunia, sababu iko hapa Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwen… Read More
President Obama’s 16-Year-Old Daughter Malia Confirmed Pregnant Baada ya story kuhit sana kwenye vyombo vya habari kwamba mtoto wa rais BarackObama, Malia Obama k… Read More
OBAMA FILAMU YA KIM JONG UN IONYESHWE Rais wa marekani Barack Obama ameimbia Korea Kaskazini kuwa Marekani itajibu kisa ambapo wizi wa mt… Read More
Picha ya Obama aliyopost Rais Kikwete facebook leo kwenye album ya ‘The Historic visit’ President wa Marekani Barack Obama ameshaondoka Tanzania toka juzi lakini bado headlines zake ni ku… Read More
Majambazi walivamia kanisani wakaiba pesa za Kanisa, kilichofuatia ni hiki… Kuna mambo yakitokea unajikuta unajipima na kuitazama imani yako iko kwa kiasi gani? Tumezoea matu… Read More
Posted by Unknown
on Monday, December 29, 2014,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "Taarifa ya kinachoendelea hivi sasa kuhusu ndege iliyopotea jana Indonesia"
Post a Comment