Latest Updates

Mabibi na Mabwana Weusi wanakualika kuisikiliza hii remix ya single yao

Weusi kutokea Arusha wamekuja na remix ya single yao Gere ambapo time hii wamewakusanya wasanii tofauti wa Afrika Mashariki akiwemo Rapper Navio wa Uganda, Collo wa Kenya, Naaziz, Rabbit wa Kenya. Ukishaisikiliza HAPA usiache kuniandikia lako la moyoni ili Weusi wakipita hapa pamoja na wasanii wengine waone watu wao mnasema nini kuhusu hiyo audio.

0 Response to "Mabibi na Mabwana Weusi wanakualika kuisikiliza hii remix ya single yao"

Post a Comment