Latest Updates

Sad: Aisha Madinda Afariki Dunia


Taarifa zilizonifikia muda huu  saa Saba kamili December 17 ni kuhusu kifo cha aliyekua Mnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed aka ‘Aisha Madinda’ . Sababu za kifo zinafuatiliwa na tutakuletea habari kamili pindi tutakapozipata.
Mkurugenzi wa Twanga Peteta ‘Asha Baraka’ anasema ” Tayari wasanii wa twanga pepeta wakiongozwa na  ‘Luiza Mbutu’  wameenda kutambua mwili hospitali ya mwananyamala na wamekuta ni Aisha, Taarifa kutoka Nyumbani kwake zinasema jana Aisha alikuwa mzima wa afya na hakuwa na tatizo lolote,tunaendelea kufuatilia” .
Aisha alifika  hospitali ya Mwananyamala akiwa tayari ameshafariki.

0 Response to "Sad: Aisha Madinda Afariki Dunia"

Post a Comment