Latest Updates

Rekodi ya List ya Collabo za Muziki zilizofanya vizuri mwaka 2014

Ikiwa imebaki saa chache kumaliza mwaka, tathimini bado zinafanyika kwa mambo ambayo yametokea mwaka mzima. Burudani mara zote imekuwa karibu na maisha yetu, ikiwemo muziki. Kwenye rekodi mbalimbali zilizovunjwa kwa kufanya vizuri mwaka huu, ipo hii ya list ya Top Ten ya zile Collabo zitakazokumbukwa zaidi kwa kufanya vizuri Mwaka 2014 kwenye muziki. 1Hangover- Psy feat. Snoop Dogg. Flawless (Remix)- Beyonce feat. Nicki Minaj. Sing- Ed Sheeran feat. Pharrell Williams. Uptown Funk- Mark Ronson feat. Bruno Mars. Bang Bang- Jessie J feat. Ariana Grande & Nicki Minaj. Love Never Felt So Good- Michael Jackson feat. Justin Timberlake. Can’t Remember to Forget You- Shakira feat. Rihanna. Fancy- Iggy Azalea feat. Charli XCX. Dark Horse- Katy Perry feat. Juicy J. Ew!- Jimmy Fallon feat. Will.i.am. Kilichonishtua kwenye list hii kuna majina machache sana ya mastaa.

0 Response to "Rekodi ya List ya Collabo za Muziki zilizofanya vizuri mwaka 2014"

Post a Comment