Latest Updates

Picha: Diamond Awasili Uganda Tayari Kwa Zari All White Ciroc Party



Diamond amefika Uganda na kupokelewa na timu ya Zari kwa ajili ya party yake ya #ZariAllWhiteCirocParty inayofanyika @guvnoruganda tarehe 18 December 2014. Hizi picha za chakula cha usiku wakiwa na mwenyeji wao Zari.

0 Response to "Picha: Diamond Awasili Uganda Tayari Kwa Zari All White Ciroc Party"

Post a Comment