Latest Updates

Kuhusu huyu aliyeuwawa kwa risasi Mahakamani Dar es salaam leo.

Saa kadhaa zilizopita Polisi walimfyatulia risasi mtuhumiwa aliejaribu kutoroka baada ya kufikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu Dar es salaam asubuhi ya December 31 2014. Muda mfupi baadae Polisi ikatoa taarifa kwamba mtuhumiwa wa dawa za kulevya aliyeuwawa ni Abdul Koroma raia wa Sierra Leone na aliuwawa kwa risasi wakati akitoroka Mahakamani.
millardayo.com

0 Response to "Kuhusu huyu aliyeuwawa kwa risasi Mahakamani Dar es salaam leo."

Post a Comment