Latest Updates

Ni habari nyingine tena…Kim Kardashian na Kanye West wanunua jumba la Kifahari

Hawa ni mastaa ambao wameendelea kuchukua Headlines kila kukicha na kujipatia mamilioni ya pesa kupitia kazi zao. Kim Kardashian na mumewe Kanye West wameamua kununua jumba lingine la kifahari la jirani yao katika jiji la Los Angeles lenye thamani ya dola za Marekani milioni 3 kwa lengo la kuongeza mali zao zenye utajiri wa zaidi ya dola za Marekani milioni 20.
masiveWawili hao walipanga kujenga sehemu kubwa kwa ajili ya watoto wao,uwanja wa basketball,sehemu ya kuangalia filamu,sehemu ya michezo,spa kwa ajili ya Kim,eneo la wageni pamoja na studio itakayokua maalum kwa ajili ya Kanye kumsaidia kutokwenda sehemu nyingine yoyote kurekodi kazi zake.

0 Response to "Ni habari nyingine tena…Kim Kardashian na Kanye West wanunua jumba la Kifahari"

Post a Comment