Latest Updates

MENINAH ATINGA KWA MGANGA KUMNASA DIAMOND


Mganga aliyejita-mbulisha kwa jina moja la Kimweri ameibuka na madai mazito kuwa ndiye aliyemng’arisha staa wa kike wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Meninah La diva’ hivyo kutoa siri nzito ambayo wengi hawakuijua.

Kwa mujibu wa mganga huyo ameeleza siri nzito kuwa msanii huyo hutinga nyumbani kwa mganga huyo kwa ajili ya kuchukua dawa kwa ajili ya kujiongozea mvuto na kumnasa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini DIAMOND Platnum.

Alidai kuwa msanii huyo wa kike amekuwa akienda nyumbani kwa mganga huyo Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kuchukua dawa kwa ajili ya kumnasa DIAMOND Platnum

0 Response to "MENINAH ATINGA KWA MGANGA KUMNASA DIAMOND"

Post a Comment