Latest Updates

MALICK "MUACHENI ROSE NDAUKA AJIRUSHE"
BAADA ya msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka kuonekana akijiachia viwanja mbalimbali tofauti na alivyokuwa akiishi awali, mzazi mwenzake, Malick Bandawe, ameibuka na kumfungukia kuwa aachwe ajirushe.

Malick alifungua kinywa kufuatia madai kwamba alipokuwa akiishi na Rose alikuwa akimpa sheria kali na kumkataza kwenda ‘out’ ndiyo maana alikuwa hajiachii kama ilivyo sasa na hiyo ni moja ya sababu zilizosababisha uhusiano wao kuvunjika. 

“Mimi siyo mkali wala sina sheria kama hizo mnazozifikiria ila nimeongea sana na Rose nikaamini amenisikia na kujirekebisha ila kama anaendelea muacheni afanye mimi sina tatiz" alisema.

0 Response to "MALICK "MUACHENI ROSE NDAUKA AJIRUSHE""

Post a Comment