Ambapo aliweka wazi juu ya mahusiani yao yanavyopatwa na changamoto "laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama" aliandika Diamond
WEMA APEWA UJUMBE NA DIAMOND

Related Post:
Baada ya ukimya mrefu, Ray C anakualika kuisikiliza hii single yake mpya . Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki time hi… Read More
2015 Kumrudisha Ja Rule Kwenye Muziki Rapper Ja Rule ambaye amekuwa kimya kwenye muziki baada ya kutoka jela amezunumzia uwepo wa album m… Read More
Ni zamu ya Madonna 2015…hii inahusu ziara yake kuzunguka dunia nzima Mwanamuziki Madonna Louise ni miongoni mwa mastaa barani Ulaya wanaofanya vizuri katika k… Read More
Utaishangaa hii ya kijana aliyefanya upasuaji ili afanane na Kim Kadarshian…Kijana mwenye miaka 23 Jordan James Uingereza ameripotiwa kutumia paundi 100,000 sawa na zaidi ya m… Read More
HII KALI...........MRISHO MPOTO AENDA ULAYA MIGUU PEKU..MCHEKI HAPA AKIWA ULAYA PEKU… Read More
Posted by Unknown
on Monday, September 29, 2014,
Add Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "WEMA APEWA UJUMBE NA DIAMOND"
Post a Comment