Latest Updates

MREMBO AMNG'ANGANIA SOLJA BOY


Rapper Soulja Boy alikuwa na kila sababu ya kumshitukia mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 7 baada ya msichana aliyewahi kuwa mpenzi wake kudai kuwa alizaa nae mwaka 2007. 

Mwama jana Mackey mwenye umri wa miaka 23 alisambaza picha inayomuonesha akiwa na Soulja Boy na kueleza kuwa ilichukuliwa mwaka ambao alipewa ujauzito na rapper huyo. 

Kwa mujibu wa TMZ, matokeo yaliyopatikana baada ya kufanyiwa vipimo vya DNA yameonesha kuwa kwa 99.9% mtoto huyo sio wa Soulja Boy. 

Kipande cha document ya majibu hayo ambacho TMZ imekipata kinasomeka; “The alleged father is excluded as biolocal father of the tested child.”

0 Response to "MREMBO AMNG'ANGANIA SOLJA BOY"

Post a Comment