Crooney na Alamuddin walipokea salamu za pongezi na kuwatakia heri kutoka kwa maelfu ya watu huku wakifurahia na marafiki zao wa karibu katika hotel ya kifahari inayojuliikana kama Aman Hotel.
Miongoni mwa wageni waalikwa ni pamoja na Cindy Crawford, Bill Murray, Matt Damon na muimbaji Bono wa kundi la U2.
Angalia picha:

Amal Alamuddin


Bill Murray alikuwa miongoni mwa wageni


Msafara wa boat siku ya harusi
0 Response to "MUIGIZAJI GEORGE AFUNGA NDOA NA MWANASHERIA"
Post a Comment