Latest Updates

Neno la Davido kwa Wizkid na P Square kuhusu albam zao


Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter kuufikisha ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na P Square kuhusu albam zao.
Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).


0 Response to "Neno la Davido kwa Wizkid na P Square kuhusu albam zao"

Post a Comment