Latest Updates

KIMENUKA , BONGO MOVIE UNITY - WILLIAM MTITU KUTANGAZA KUJIUZULU.?


                       Steven Mengele
Hatimaye yale niliyokuwa yakisemwa  kila mara kuhusu ujangili wa Steve Nyerere yametimia.

Baada ya kukwapua mamilioni ya TAMASHA LA MATUMAINI na kuwa acha hoi wenzake huku wengine wakiambulia laki moja na nusu 150,000/= kila mmoja na yeye akilamba zaidi ya milioni saba tshs 7,000,000/=

Wana Bongo movie wakubwa waapa kutoshiriki mchezo mchafu unaoandaliwa na kuchezwa na kijana mwenye miaka mitatu tu kwenye tasnia ya filamu ( Steve Nyerere ) anayetaka kuwaburuza huku akiamini kuwa anaogopwa kuliko masihi.

SMS zatembea muda wote kuwataka watu kutokwenda kwenye dua hiyo iliyoandaliwa kwa minajili ya mkono kwenda kinywani.
          William J. Mtitu
Habari za chini chini zinasema kuwa katibu wa Bongo movie Unity William J. Mtitu anatarajia kujiudhuru baada ya kashifa kuzidi na kuazishwa dili zisizoeleweka kwa minajili ya kupiga fedha tu na si kwa maslahi ya tasnia ya filamu.

Hapa ndipo mashaka yanapo tanda kuhusiana na dua iliyoandaliwa na wakubwa wetu lengo hasa lilikuwa dua au utapeli?

Pumzikeni kwa amani ndugu zetu wapendwa , baadhi yenu misiba yenu watu walikula na leo wanahitaji kula tena kwa migongo yenu hadi leo.

0 Response to " "

Post a Comment