Latest Updates

DIAMOND AREJEA NA TUZO NCHINI                                


Diamond Platnumz akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya habari na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere  kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.

Mwanamuziki nyota wa miondoko ya Bongo Fleva Diamond Platnumz akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere  kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki na Mama yake Mzazi na baadhi ya washabiki na wapenzi wa muziki huo.


 

0 Response to " DIAMOND AREJEA NA TUZO NCHINI"

Post a Comment