Latest Updates

MWISHO KUANZA KUONEKANA TV 1


Aliyekuwa mshindi wa shindano la Bog Brother Africa Mr Morogoro ataanza kuonekana,kwenye Chennel Mpya TV 1  inayorusha matangazo yake kupitia kwenye king'amuzi cha Startimes..kipindi hicho kinajulikana kama Boys Boys Endelea kufatilia kwa taarifa zaidi.
TAZAMA PROMO YA KIPINDI HICHO HAPA  http://www.youtube.com/watch?v=Aq6dZm5p06Y

0 Response to "MWISHO KUANZA KUONEKANA TV 1"

Post a Comment