Latest Updates

UKWA ATIMIZA MIAKA 34

                                      
Mchza filamu maharufu sana barani Africa ambaye asili yake ni kuttoka nchini Nigeria  Osita Iseme maarufu sana kama ukwa au Pawpaw,mwishoni mwa wiki iliyopita alisheherekea kutimiza umri wa miaka 34.Mcheza filamu huyo aliandaa sherehe ya kiasili huko kijijini kwao Obeagu kijiji amachi kiko mashariki mwa jimbo la Kanu.
     
                Kwa sasa ukwa yuko mbioni katika kufanya filamu yao mpya akiwa na swaiba wake Aki.

0 Response to "UKWA ATIMIZA MIAKA 34 "

Post a Comment