Latest Updates

BIFU KATI YA DIAMOND NA ALLY KIBA LAZIDI KUFUKA MOSHI


                        


Kwa kitu ambacho kinaonekana si cha kawaida kwa Kala Jeremiah kuandika status kali ikiwa kama inamchafua Diamond na kumsifia Ally Kiba kwa kile kilichosemekana kuwa Ally Kiba kakopa pesa ili kumalizia ujenzi wa nyumba aliyokuwa anajenga

0 Response to " BIFU KATI YA DIAMOND NA ALLY KIBA LAZIDI KUFUKA MOSHI "

Post a Comment