Tangu jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC
akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa
anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku
amekunja nne, picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha
hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye
mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo
0 Response to "JE KUPIGIWA GOTI NA KUOMBWA MSAMAHA NI UDHALILISHAJI? "
Post a Comment