Mcheza filamu Mercy Johnson anasadikiwa ndeye msanii tajiri zaidi kuliko
wasanii wote wa kike Nchini Nigeria.Uchunguzi uliofanywa na Mtandao wa
Yes International umebaini kuwa Mercy amekuwa akilipwa kati ya Naira 1.5
hadi Million 2 kwa filamu moja.Kwa sasa inasemekana mwanamama ambaye
ana mtoto mmoja .inasemekana tangu mwakahuu uanze tayari ameshafanya
filamu kama 9 na baadhi ya filamu hizo ni kama Obioma the slave
Girl,Mery the Hunter,Cry of a widow ,Voice the mother nk.
0 Response to "MERCY JOHNSON AZIDI KUSHIKA KASI "
Post a Comment