Drake alikuwa Paris kwa ajili ya show lakini mapaparazi wamejua kwamba
Rihanna na Drake walikuwa wana-hang out pamoja weekend iliyopita sehemu
mbalimbali na kupata dinner kwenye mgahawa maarufu wa L’Avenue.
Unaambiwa pia Rihanna baada kujiachia weekend yote na Drake hakuwa nyuma kwenda kushuhudia show ya Drake usiku huo.
Baada ya show wote wawili waliambatana kwenye night club na mapaparazi
wanasema baada ya kujiachia usiku huo wote pamoja waliondoka kwenda
Hyatt hotel ambapo Drake ndipo alipofikia
0 Response to "DRAKE & RIHANNA KAMA KAWA "
Post a Comment