Latest Updates

VICTORIA KIMANI AIMBA NA BUSTA


Muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani amepiga hatua kubwa kuelekea kwenye mafanikio yake ya kimuziki baada ya kufanya kazi na mmoja wa wanamuziki wakubwa duniani, Busta Rhymes.

Victoria amerekodi nyimbo uitwao 'Shin Shin' akimshirikisha rapa huyo wa Marekani na tayari wimbo huo unapatikana katika Youtube.

0 Response to " VICTORIA KIMANI AIMBA NA BUSTA"

Post a Comment