Jeneza
lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),
Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt.
Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea
Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.Picha zote na
Othman Michuzi.
Viongozi
wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa
ajili ya Matibabu.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji
mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence
Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya
Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana
wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa
ajili ya Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika
mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),Prof. Rwekaza Mkandala
(mbele) Sir George Kahama,pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mzee
Phillip Mangula wakitoa heshima zao za Mwisho kwa Mwili wa aliyekuwa
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence
Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya
Matibabu.Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana
wa leo katika Kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akimfariji Mjane wa
Marehemu pamoja na watoto wakati wa Ibada maalum ya kuaga Mwili wa
aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura,iliyofanyika kwenye kanisa la Mt. Peter,Osterbay jijini
Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Warioba akiifariji familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara,Mzee Phillip Mangula akiifariji familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura ikiwa kanisani hapo sambamba na waombelezaji wengine mbali mbali.
Watoto wa Marehemu Balozi Fulgence Kazaura wakizungumza jambo, pamoja na Mama yao (katikati).
Mtoto
Mkubwa wa Marehemu Balozi Fulgence Kazaura, Kamugisha Kazaura akisoma
risala fupi ya baba yake wakati wa Ibada Maalum ya kutoa heshima za
mwisho,iliyofanyika mchana wa leo kwenye Kanisa la Mt. Peter, Osterbay
jijini Dar es Salaam.
Mzee
Samuel Tassa ambaye alikuwa ni mtu wa karibu la Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura, akimzungumzia namna walivyoweza kuishi pamoja katika
kipindi chote cha Uhai wake.
Mwakilishi
wa Mabalozi wastaafu nchini, Balozi Anthony Nyaki akitoa ujumbe wa
Mabalozi wenzake namna walivyoguswa na msiba huo wa Mwenzao, Marehemu
Balozi Fulgence Kazaura.
Ibada ikiendelea kanisani hapo.
Mh. Mkapa akilishwa Mkate wa Bwana.
Prof. Mkandala akilishwa Mkate wa Bwana.
Sir George Kahama.
BY DJ SEK
0 Response to "VIONGOZI MBALIMBALI WAUAGA MWILI WA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KATIKA KANISA LA MT. PETER JIJINI DAR"
Post a Comment