Latest Updates

ROSS HANA MPANGO WA KUMJIBU 50 CENTVyanzo vya habari vya Ross vimeweka bayana kuwa msanii huyo hana mpango wa kumjibu 50 Cent ambaye kwake anamchukulia kama mtu anayetafuta umaarufu tu.
Vyanzo hivyo vimeuambia mtandao wa TMZ, kuwa Rozay hawezi kumjibu kwa sababu hajali kitu chochote kinachosemwa na 50 kwani hawako katika ngazi moja

0 Response to "ROSS HANA MPANGO WA KUMJIBU 50 CENT "

Post a Comment