Latest Updates

RIYAMA AJIVUNIA KUPUNGUA UNENE


Miezi michache baada ya kutoka kujifungua, staa wa sinema Bongo, Riyama Ally amefunguka kuwa amefurahia kupungua unene kwa mazoezi aliyoyafanya kwani sasa ameanza kuigiza. 

Akizungumzia mikakati yake mipya, Riyama alisema: “Bila kupungua nisingeweza kuigiza kama zamani, sasa nimeigiza sinema ya Likwata.”

0 Response to "RIYAMA AJIVUNIA KUPUNGUA UNENE"

Post a Comment