Latest Updates

HEMED ATARAJIA NDOA


 

Kijana mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna. 

Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.”

0 Response to "HEMED ATARAJIA NDOA"

Post a Comment