Mapya yanaendelea kuibuka baada ya kifo cha mfalme wa Pop duniani
Michael Jackson ambapo hivi sasa kijana mwenye umri wa miaka 31
anayejulikana kwa jina la Brandon Howard, amejitokeza na kudai kuwa ni
mtoto wa mwanamuziki huyo.
Kijana huyo alienda mbali zaidi na kudai kuwa anaushahidi wa vipimo vya
DNA kwa kuthibitisha hilo. Vyanzo vya karibu vya kijana huyo vilieleza
vimesema Miki na Michael Jackson walikutana mwaka 1982 na Brandon
akazaliwa kipindi hicho. Kwa mujibu wa chanzo hicho, Brandon ana uhakika
kwa sababu alifanikiwa kupata kifaa alichokuwa anavaa Michael
(haijajulikana alipataje), lakini inaelezwa kwamba DNA (vinasaba)
vinaendana
0 Response to "MTOTO MWINGINE WA MICHAEL JACKSON AJITOKEZA "
Post a Comment