Latest Updates

Lord Eyes Amesimamishwa Kazi Ndani Ya Kampuni Ya Weusi 
Nikki Wa Pili Msemaji Wa Weusi Kampuni amesema Leo mchana kuwa rapper Lord Eyes Amesimamishwa Kazi na Kampuni hio na taarifa zaidi zitatolewa muda ukifikia.
Nikki Amefunguka kuwa Lord Eyes asihusishwa na Kazi za Weusi na Weusi wasihusishwa na Lord Eyes.
Taarifa za Lord Eyes Aulizwe mwenyewe na sio Weusi.

0 Response to "Lord Eyes Amesimamishwa Kazi Ndani Ya Kampuni Ya Weusi"

Post a Comment