Latest Updates

AMBER ASHIKWA NA SHABIKI 'MAKALIO'Mke wa rapper Wiz Khalifa, Amber ameanza vituko kwa kumruhusu shabiki kumshika sehemu yoyote ambapo picha iliyosambaa hivi karibuni inaonesha mke wa Wiz Khalifa alishikwa visivyo na shabiki aliyetoka mbali kuja kumuona star huyo.

0 Response to " AMBER ASHIKWA NA SHABIKI 'MAKALIO' "

Post a Comment