Latest Updates

NEY WA MITEGO AVUNJA UKIMYA KWA MPENZI WAKE, AMNUNULIA GARI, AJIGAMBA KUMNUNULIA PRADO IFIKAPO JULAY
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amemnunulia mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema gari huku akimuahidi kumnunulia gari nyingine yenye ubora zaidi.

Ney wa Mitego amemuahidi kumnunulia gari aina ya prado mpenzi wake huyo pindi ifikapo Julay mwaka huu, nakumsisitiza atumue hilo kwanza hadi kipindi hicho atakachomnunulia lingine kwa ajili ya matumizi yake.

Amemnunulia gari hilo huku zikiwa zimebaki siku chache kabla ya shamrashamra za kusherehekea siku ya wapendanao 'Valentine's Day

0 Response to "NEY WA MITEGO AVUNJA UKIMYA KWA MPENZI WAKE, AMNUNULIA GARI, AJIGAMBA KUMNUNULIA PRADO IFIKAPO JULAY"

Post a Comment