Latest Updates

RAYUU AZIDI KUFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO                             
Rayuu mwigizaji mwenye mikasa Bongo amefunguka kwa kuelezea mumewe anayemhitaji kwa ajili ya kumuoa na kujenga familia kama mke na mume, hapendi wanaume vijana ambao yeye anawaita masharobaro anahitaji mtu mzima anayejiheshimu na kujali familia.Nahitaji mtu mzima mwenye heshima zake na si vijana masharobaro ni wasumbufu hawawezi kujenga familia, mtu kama Kigwendu angekuwa hajaoa ningeomba anioe, tungedumu na kwenda sambamba,”anaongea huku anacheka.
                                     

Rayuu anasema katika mahusiano kuwa na vijana walio katika rika lake ni tatizo kwani ameshuhudia baadhi ya watu wa umri wake wakitendwa ikiwa hata yeye mwenyewe kuumizwa hivyo anahitaji mtu mwenye maamuzi sahihi...

                                

0 Response to "RAYUU AZIDI KUFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO"

Post a Comment