Latest Updates

NYOTA WA FILAMU HOFFMAN AZIKWA
Mshindi wa tuzo ya Oscar, muigizaji Philip Seymour Hoffman, ambaye alikutwa amekufa nyumbani kwake jijini New York, Marekani amezikwa juzi rasim katika kaburi la siri.

Muigizaji huyo alizikwa siku ya Ijumaa huko Manthattan, Marekani ambako mastaa mbalimbali wa filamu walihudhuria mazishi yake pamoja na kutoa heshima ya mwisho.

Hoffman inasemekana ndiye muigizaji aliyekuwa akipewa heshima kubwa zaidi miongoni mwa waigizaji wenzake wa kizazi chake.

0 Response to "NYOTA WA FILAMU HOFFMAN AZIKWA"

Post a Comment