Muimbaji Miley Cyrus amezoea kufanya vituko mbalimbali pindi awapo jukwaani kufanya vituko vinavyovunja rekodi hali inayopelekea shoo zake ziripotiwe kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti..
Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alifanya kituko kingine Jumamosi , alipokuwa kwenye ziara yake huko Los Angeles, wakati anaimba wimbo wake ‘Adore You’.
Miley Cyrus alishuka na kumfuata mwimbaji mwenzake wa kike ‘Katy Perry’ na kumsogezea lips, Katy aliposogeza lips pia Miley alifanya kweli kama yuko na boyfriend wake kwa kumpa ‘deep kiss’ kwa sekunde.
Baada ya kumalizana na alichokifanya huku Katy Perry akioneka kuwa hakutegemea angefika huko, Miley Cyrus alisema kuwa amependa kumbusu msichana
0 Response to "MILEY CYRUS AENDELEZA VITUKO, AMPA 'DENDA' MWANAMKE MWEZIE "
Post a Comment