Latest Updates

JUSTIN BIEBER ABUSU ZIWA LA BINTI HADHARANI


MSANII asiyeisha vituko kila siku Justin Bieber amezidi kuonesha kuwa yeye ni mtu wa vituko mara baada ya kubusu ziwa la binti, ambapo kitendo hiko kilifanyika mbele za watu.

Bieber alipiga picha hiyo akiwa inayomuonesha akibusu ziwa la msichana huyo ambapo picha hiyo inamuonesha sura ya kijana mwingine anayejulikana kwa jina la Khalil Sharieff ambaye ni rafiki wa karibuni na muimbaji huyo.

0 Response to "JUSTIN BIEBER ABUSU ZIWA LA BINTI HADHARANI"

Post a Comment