Latest Updates

JAGUAR ASAINI MKATABA MPYAMwanamuziki tajiri Charles Njagua Jaaguar amesaini mkataba  mpya na kampuni ya Mtech itakayokuwa ikishughulikia matangazo na usambazaji wa kazi zake.

Kampuni ya Mtech, inafanya kazi na wasanii wengi ikiwa ni pamoja na Wyre, P Unity, Kidum Radio na Weasle, Keko Eko, Dida, Victoria Kimani, Ice Prince, Psquare. Ni moja ya kampuni ambazo zinawapatia mafanikio wanamuziki wake

0 Response to "JAGUAR ASAINI MKATABA MPYA"

Post a Comment