Latest Updates

DYNA & CITY KUPIGA NGOMA MOJA

                        
Baada ya kutamba na vibao vyake kama Fimbo, Nivute kwako,Unataka nini,Msanii wa kizazi kipya   Mwanaisha Nyange a.k.a. Dayna anatarajia kwenda Uchini Uganda kutengeneza wimbo wake ambao atashirikiana na msaanii Cinderella Sanyu Cidy.alizungumza  amesema ndoto yake ilikuwa kufanya kazi na msanii huyo kutoka Uganda..Aliongeza kwa kusema kuwa walipanga kufanya kazi hiyo jijini mwanza ila kutoka na ufinyu wa muda kwa msanii mwenzie imembidi kumfata huko Uganda..aliongeza kuwa muda wowote mwezi ujao atasafiri kwenda nchini Uganda..

0 Response to "DYNA & CITY KUPIGA NGOMA MOJA "

Post a Comment