Latest Updates

DULLY ATOA SABABU ZILIZOSABABISHA VIDEO YA KABINT SPECIAL KUFUNGIWA

                                    
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Dully Sykes amesema sababu zilizofanya Baraza la sanaa Tanzania  ( BASATA ) Lifungie Vedeo ya wimbo wake wa Kabinti Special ni Mavazi.
Akizungumza na Pro 24 Dully amesema kutokana na maadili yaliyotokana na mavazi yaliyovaliwa na washiriki wake.Hii itakuwa ni mara ya pili sasa Basata kufungia nyimbo za msanii hiyo.Mara ya kwanza walifyungia wimbo wake Nyamimbizi.

0 Response to "DULLY ATOA SABABU ZILIZOSABABISHA VIDEO YA KABINT SPECIAL KUFUNGIWA"

Post a Comment