Latest Updates

TONI BRAXTON UCHUMI WAKE WAIMARIKA, BAADA YA KUYUMBA KWA MIEZI 6Baada ya kuyumba kiuchumi miezi sita iliyopita mwimbaji wa R&B Toni Braxton amenunua mjengo wenye thamani ya dola milioni 3 ambazo ni sawa na sh. bilioni nne.

Vyanzo vya habari mbalimbali vimedai kuwa hali ya kiuchumi ya muimbaji huyo imeimarika mara baada ya kusaidiwa na reality show yake ya TV 'Braxton Famil Values' ambapo sasa ni msimu wa tatu.

0 Response to "TONI BRAXTON UCHUMI WAKE WAIMARIKA, BAADA YA KUYUMBA KWA MIEZI 6"

Post a Comment